Vyama vya upinzani nchini Tanzania vimejipanga kwenda mahakama kuishitaki serikali kwa kuruhusu uchaguzi huo kusimamiwa na wizara ya tawala za mikoa na serikali za mitaa badala ya tume ya uchaguzi+++Juhudi za kimataifa za kuzuia vita vya Gaza zinaendelea wakati wasuluhishi wa kimataifa wakiingia katika siku ya pili ya mazungumzo mjini Doha nchini Qatar.