Mkuu wa Vituo vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa barani Afrika, CDC, Jean Kaseya, ameelezea kuwa kirusi cha Mpox ama homa ya nyani kwa sasa kimevuka mipaka na kimewaathiri maelfu ya watu katika bara la Afrika+++Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amesema leo vikosi vya nchi yake vimechukua udhibiti kamili wa mji mdogo wa Sudzha uliopo kwenye mkoa wa mpakani wa Urusi wa Kursk