Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Serikali ya waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu iko mashakani, baada ya chama kimoja ambacho ni sehemu ya serikali yake ya mseto kutangaza kinajitoa kuhusiana na mipango ya mafunzo ya lazima ya kijeshi / Jamii za madhehebu ya Wadruze na Wasunni kutoka jamii ya Mabedui wapambana katika mji wa Sweida