Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa, UNESCO limesifu marekebisho ya sheria za makosa ya mtandao na sheria ya huduma za habari yaliyofanyika hivi karibuni nchini Tanzania / Waziri wa Ulinzi wa Syria, Murhaf Abu Qasra, ametangaza kufikiwa makubaliano ya kusitisha mapigano