Rais wa Urusi Vladimir Putin avitaka vikosi vya Ukraine vilivyonasa katika eneo la Kursk vijisalimishe. Umoja wa Ulaya kutangaza vikwazo kuhusu uvamizi wa waasi wa M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Na Marekani yamfukuza balozi wa Afrika Kusini mjini Washington.