Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Wapalestina watano wameuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel na kwenye msako uliofanyika Ukingo wa Magharibi/ Watu wanane wameuawa kwa kupigwa risasi kabla ya miili yao kuteketezwa kwa moto eneo la Forolle mpakani mwa Kenya na Ethiopia katika jimbo la Marsabit