Umoja wa Mataifa, Mashirika ya kutetea haki za binaadamu ndani ya Palestina na Israel na vyombo vya habari vimekuwa vikitoa tahadhari ya madai kuhusu unyanyasaji kijinsia, mateso makali kwa Wapalestina wanaozuiliwa katika magereza ya Israel+++Wakaazi wa Sudan wanasema wanamgambo wa kikosi maalum cha RSF wanapora vijiji na kusababisha machafuko kwenye maeneo ya kilimo