Waziri Mkuu wa Australia Anthony Albanese amemshtumu mwenzake wa Israel, Benjamin Netanyahu kwa kuendelea kupingana na uhalisia wa hali ngumu ya kibinadamu inayowakabili raia katika Ukanda wa Gaza+++Wanamgambo wa RSF nchini Sudan, wamefanya mashambulizi katika kambi iliyoathiriwa vibaya na njaa ya wahamiaji, viungani mwa mji wa el-Fasher