Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimelaani vikali hatua ya kukamatwa na polisi viongozi wake wa ngazi ya juu huku kikilitaka jeshi hilo kuwaachia mara moja+++Ulimwengu unaadhimisha Siku ya Vijana kila Agosti 12. Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo vijana wamekutana mjini Bukavu katika hafla kubwa ya fikra kuhusu mchango wa vijana katika ujenzi wa amani na maendeleo ya kudumu