Israel yakosolewa vikali katika Mkutano wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu mpango wake wa kutanua operesheni za kijeshi huko Gaza. Rais wa Ukraine apata uungwaji mkono wa Umoja wa Ulaya na NATO kabla ya mkutano wa Trump na Putin. Watu 63 wafariki kwa utapiamlo ndani ya wiki moja huko El-Fasher nchini Sudan.