Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameutetea mpango wake wa kuutwaa mji wa Gaza// Mbio za urais nchini Tanzania zinaendelea kushika kasi baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa taifa hilo la Afrika Mashariki, Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu//Watu 63 wamekufa nchini Sudan kutokana na utapiamlo katika muda wa wiki moja.