Wapalestina wameshuhudia mashambulizi makubwa zaidi leo Jumatatu katika maeneo ya mashariki mwa mji wa Gaza//Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania, Job Yustino Ndugai, amezikwa hii leo, shambani kwake wilayani Kongwa mkoani Dodoma// Michuano ya CHAN inaendelea huko Afrika Mashariki huku leo ikiwa zamu ya kundi C ambapo mechi inayoelekea ukingoni kwa sasa ni kati ya Afrika Kusini na Guinea.