Waziri Mkuu wa Israel aelezea matarajio ya kufikiwa mpango wa kuachiwa mateka wanaoshikiliwa na Hamas. Mahakama ya ICC yatahadharisha kuhusu kufanyika kwa vitendo vya uhalifu dhidi ya binadamu huko Darfur. Viongozi wa Ulaya wazindua mkutano wa kusaidia ujenzi wa Ukraine baada ya vita licha ya mashambulizi makubwa ya Urusi.