Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mazungumzo ya kusaka suluhu katika mzozo wa Gaza yamepiga hatua ikiwemo Hamas kukubali kuwaachia mateka wa Israel / Mazungumzo kati ya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na waasi wa M23 yanaendelea katika mwelekeo sahihi