Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imesema imeorodhesha vifo vya watu takriban 798 katika kipindi cha wiki sita zilizopita kwenye maeneo ya misaada Gaza / Shirika lisilo la kiserikali la Oxfam limetahadharisha juu ya kuendelea kuongezeka pengo kati wenye nacho na wasio nacho barani Afrika