Uchunguzi wa kifo cha mwanablogu Albert Ojwang umechukua mkondo mpya// Chama cha Cndd Fdd tawala Burundi kimeibuka na ushindi mkubwa katika uchaguzi wa bunge na madiwani ulofanyika tarehe 05 mwezi huu// Maafa makubwa yameripotiwa nchini Afrika Kusini kufuatia mvua kubwa na mafuriko yaliyozikumba sehemu mbalimbali za nchi hiyo.