Raia wa Ufaransa leo hii wanapiga kura katika duru ya kwanza ya uchaguzi wa wabunge, Waziri wa mambo ya nje wa Kuwait amesema Qatar ipo tayari kusikiliza wasiwasi wa mataifa mengine ya Ghuba na eshi la Marekani leo hii limefanya shambilizi la anga katika maeneo ya al Shabaab nchini Somalia