Taarifa ya habari ya asubuhi ya leo inasikika hapa. Miongoni mwa mengine ni Rais Volodymyr Zelensky wa ukraine awasili Saudi Arabia kwa mazungumzo ya amani huku akiwa na matumaini makubwa | Washirika wa Rais wa zamani wa Kongo Joseph Kabila wahojiwa na mwendesha mashtaka wa kijeshi | Wapiganaji wa Kikurdi nchini Syria wayakaribisha makubaliano kati yao na serikali ya Damascus