Rais wa Marekani Donald Trump amkapia waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuhusu mashambulizi ya Qatar. Iran yakubali mfumo mpya wa ushirikiano na shirika la kimataifa la kudhibiti usambazaji wa silaha za nyuklia, IAEA. Na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yaushawishi Umoja wa Mataifa kutambua mauaji ya halaiki katika eneo lake la mashariki.