Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Hamas imesema iko tayari kuwaachia mateka kumi wa Israel ikiwa ni sehemu ya maafanikio ya mazungumzo ya Qatar / Kocha mpya wa Real Madrid, Xabi Alonso, amesisitiza kuwa kibarua chake cha kuiongoza Madrid kinaanza sasa rasmi, kufuatia kichapo cha 4-0 dhidi ya Paris Saint-Germain kwenye nusu fainali ya Kombe la Dunia la Vilabu