Miongoni mwa tuliyonayo kwenye matangazo ya Jioni ni Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres afumbia macho manyanyaso yanayowakabili wakimbizi barani Afrika, Theresa May kuomba muda zaidi kurekebisha mkataba wa Brexit na Rais wa Algeria, Abdelaziz Bouteflika kugombea awamu ya tano. Maoni kwenye Meza ya Duara yanaangazia ziara ya Papa Francis Umoja wa Falme za Kiarabu.