Waziri mkuu wa Ufaransa Francois Bayrou kujiuzulu na serikali yake baada ya kuondolewa na bunge katika kura ya imani. Watu 2 wauwawa na wengine 16 kujeruhiwa Donetsk. Na Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer akutana na rais wa mamlaka ya ndani ya Wapalestina Mahmoud Abbas jijini London.