Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Takriban Wapalestina 40 wameuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel katika Ukanda wa Gaza / Rais wa Kenya William Ruto ametoa kauli kali dhidi ya maandamano yanayoendelea nchini humo, akisema hatokubali vurugu katika taifa analoliita la kidemokrasia