Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mgogoro kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Rwanda umechukua sura mpya kufuatia uamuzi wa Rwanda kujitoa katika Jumuiya ya kiuchumi ya nchi za Afrika ya Kati (ECCAS) / Wawakilishi wa nchi 130 wanakusanyika leo katika mji wa Nice nchini Ufaransa kwa Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Bahari (UNOC).