Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Urusi na Ukraine zimebadilishana wafungwa wa kivita ikiwa ni pamoja na walio chini ya miaka 25 pamoja na waliopata majeraha makubwa vitani / Kiongozi wa upinzani wa mrengo wa kushoto wa Israel Yair Golan ametoa wito wa kusitishwa mara moja kwa vita vya Gaza