Kanisa Katoliki duniani limempata kiongozi wake mpya, Papa Leo wa 14+++Nchini Tanzania wabunge wamepinga maazimio ya Bunge la Umoja wa Ulaya dhidi ya Serikali yao+++Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amesema kuwa Urusi itakabiliwa na vikwazo vipya kama itakataa kuyapa uzito mazungumzo ya amani.