Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais Donald Trump amesema kuwa Marekani itapeleka silaha za ziada nchini Ukraine. Hii ni baada ya Urusi kuyakamata maeneo mapya katika vita vyake vya muda mrefu dhidi ya Jirani yake / Watu 11 wameuwawa katika maandamano ya kuipinga serikali yaliyofanyika Kenya 07.07.2025