Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kunashuhudiwa kitisho cha kuenea kwa imani za itikadi kali magerezani, hasa yale yanayopatikana katika maeneo yenye migogoro / Rais wa Marekani Donald Trump amesema kundi la wanamgambo wa Hamas la Palestina linatafuta kusitisha vita na Israel katika mzozo unaoendelea Ukanda wa Gaza