Mateka watatu raia wa Israel kuachiwa huru na kundi la Hamas leo. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky asema vikosi vya Korea Kaskazini vimerejea katika uwanja wa vita kuisaidia Urusi. Na Viongozi wa nchi za Afrika Mashariki wakutana Dar es Salam kujadili mgogoro unaoednelea mashariki wma Congo.