Baraza la usalama la Israel linakutana leo jioni kujadiliana kuhusu uwezekano wa kutanua operesheni zake za kijeshi kwenye Ukanda wa Gaza+++Simanzi na majonzi bado vimetawala nchini Tanzania kufuatia Kifo cha aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai aliyefariki dunia jana wakati akipatiwa matibabu katika moja ya hospitali jijini Dodoma