Baraza la mawaziri la Israeli kuamua leo kuhusu mpango wa kuudhibiti Ukanda wa Gaza. Rais wa Marekani Donald Trump asema huenda akakutana na rais wa Urusi Vladimir Putin. Na Sudan yasema jeshi lake limeiharibu ndege ya Emarati na kuwaua wapiganaji 40 mamluki.