Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran kuanza kutekelezwa leo. //Mzozo kati ya Saudi Arabia na Canada waendelea kutokota huku shirika la ndege la Saudi Arabia likikatiza safari zake za ndege kutoka na kuelekea Toronto Canada.// Umoja wa Afrika wataka haki na uhuru wa raia wote katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo-DRC kuheshimiwa.