Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Kansela mpya wa Ujerumani Friedrich Merz aliyeingia madarakani Jumanne 06.05.2025 anaelekea kwenye mataifa ya Ufaransa na Poland katika ziara inayolenga kukuza ushirikiano na mataifa hayo / Makadinali 133 kutoka sehemu mbalimbali za dunia wamejumuika mjini Vatican kushiriki zoezi muhimu na la kihistoria la kumchagua papa atakayemrithi hayati Papa Francis