Mpango wa Rais Donald Trump wa kwamba Marekani iuchukue Ukanda wa Gaza, na kuunda kile alichokiiita "Eneo la pwani ya mapunziko ya Mashariki ya Kati" umeyafadhaisha mataifa ya Kiarabu+++Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesema jana kwamba itawasilisha hoja kwa Baraza la Haki za Binaadamu la Umoja wa Mataifa