Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa kauli moja limepiga kura kuunga mkono vikwazo vipya dhidi ya Korea Kaskazini kutokana na majaribio yake mawili ya makombora na Gazeti la Uingereza limesema taifa hilo linaajiandaa kulipa hadi kiasi cha euro bilioni 40 ikiwa kama sehemu ya malipo ya kujitoa Umoja wa Ulaya.