Miongoni mwa habari utakazosikia asubuhi hii ni Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz asema ameridhishwa na mazungumzo yake na Rais Donald Trump | Shirika la Afya Ulimwenguni lataka ulinzi kweli hospitali zinazotoa huduma Ukanda wa Gaza | Na Mazungumzo ya kibiashara kati ya Marekani na China kuendelea baada ya majadiliano kati ya marais wa mataifa hayo. Sikiliza zaidi