Kremlin imesema vita vya Ukraine ni suala kuhusu uwepo wa taifa la Urusi, baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kusema kwamba Urusi na Ukraine zinafanana na watoto wadogo+++Zoezi la ukusanyaji na uhesabiaji kura baada ya uchaguzi wa bunge na madiwani ulofanyika hapo jana Alhamisi nchini Burundi bado linaendelea.