Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamua kuwa kesi ya uhaini dhidi ya kiongozi wa upinzani Tanzania Tundu Lissu, itasikilizwa katika mahakama ya wazi / Jeshi la Israel limefanya mashambulizi ya anga katika bandari ya Hodeidah, Yemen