Umoja wa Ulaya wasema Ukanda wa Gaza ni sehemu ya dola la baadaye la Palestina. Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC yafuatilia hali inayoendelea nchini Congo. Na Ukraine yawawekea vikwazo manahodha 50 wanaoisaidia Urusi kukwepa vikwazo vya nchi za Magharibi.