Kundi la waasi wa M23 leo limefanya kikao rasmi mjini Goma, ambapo kiongozi wao, Corneille Nanga, aliwatambulisha viongozi wapya+++Rais mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amesema kuwa uchaguzi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wa mwaka 2023 pamoja na ukosefu wa nia ya kisiasa vimeathiri juhudi za kurejesha amani katika eneo hilo.