Kwenye taarifa ya habari ya asubuhi ya leo utasikia pamoja na mengine Rais Donald Trump wa Marekani atangaza kuwazuia raia kutoka nchi 12 kuingia nchini humo | Hatua ya Marekani ya kuzuia azimio la usitishwaji wa mapigano Gaza yaibua ghadhabu | Waziri Mkuu wa zamani wa Sudan asema amani ya Sudan haitapatikana kama mizizi ya mzozo haitashughulikiwa kwanza. Sikiliza zaidi