Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mawaziri wa ulinzi kutoka kundi wanachama washirika wa kuisadia kiulinzi Ukraine wameahidi kwenye mkutano wao mjini Brussels kuendelea kuiunga mkono nchi hiyo licha ya Marekani kutoshiriki kwenye mkutano huo / Mamlaka ya mji mkuu wa Rwanda, Kigali, imesema itaanza kutumia satalatiti kugundua watu wanaojenga makaazi holela kinyume cha sheria